Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sasa maharage tena bro, sipendi nyama nyekundu lakini maharage nayo siyapendi bhana.Watafiti wanasema binaadamu wanatakiwa kula zaidi maharage na dengu na kupunguza ulaji wa nyama nyekundu ili kuilinda dunia na afya zao kwa ujumla.
Safi sanaKitu muhimu hapa ni kuwa na mabadiliko ya lishe ya dunia na hii inamaanisha kutumia sukari kwa kiwango kidogo na kupunguza ulaji wa nyama nyekundu na badala yake kula kwa wingi mbogamboga, kunde, matunda na njugu, umebainisha utafiti huo.
[emoji120][emoji120]Poleni wagonjwa wote,Mungu awaponye [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Hongereni walezi wa familia
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongereni wakulima wote..
[emoji120][emoji120]Poleni na Majukumu
[emoji120][emoji120]Habari ndugu zangu