Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
OhoooooUkimaliza kuguna nambie?
Hapo sasa bado kuumanatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni mwendo wa kuizungusha sample kuwaonjesha wateja [emoji3][emoji3][emoji3]
Raha ya parachichi liwe nene refu lipinde,mlaji apate pa kushika muda wa kilimung'unya...
JF ni shule tosha.
Ndio ile "ajue kusoma na kuandika"
Ndio ile "ajue kusoma na kuandika"
Huyu dogo anaweza kuwa mbunge kijinga jinga tu.