Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1619984009831.jpg
 
Team Bashiru Ali pitia hapa[emoji116]

"Mbona Bashiru Ali hakuondoshwa ukatibu mkuu wa CCM na Rais Samia,
Aliondolewa na marehemu rais Magufuli na hakukuwa na vijimaneno tunavyovisikia leo.
Manung'uniko haya yanatoka wapi?

Mama Samia amemuondoa kwenye KMK ambalo ni jambo la kawaida, jee rais Samia amefanya kosa kumpa ubunge?
Uongozi kwenye nchi hii ni haki ya kila mtanzania, Bashiru Ali ni kitu gani?

Pamoja na yote Uongozi wa Bashiru Ali ndiyo ulioongoza kukata wagombea wengi walioshinda kwenye nafasi mbalimbali za uongozi.
Ukatibu mkuu wa Bashiru Ali ulifyeka wagombea ubunge karibia robo ya wale walioshinda kwenye maeneo yao bila sababu za msingi.

Chini ya dr Bashiru kulikuwa na ukiukwaji wa kiwango cha juu wa kanuni za chama hiki.
CCM chini ya Bashiru iliongozwa kwa matamko badala ya Katiba, kanuni na miongozo tuliyojiwekea.
Bashiru Ali ni msomi, lakini ameivuruga sana CCM " ; Hajji Juma, mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM 'NEC' kutoka mkoa wa Pwani.

Team Bashiru soma hiyoView attachment 1771189View attachment 1771204
Mh..
 
Hahahaha..
Stress imechukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom