IamJackReacher
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 305
- 403
My Tanzania
ila naomba tu tujifunze yanayoendelea India maana sio kwa mlipuko huu!
Mungu na sayansi hua havipatani ila watu wakavikimbilia vyote na miujiza hutokea!
🙏🙏Na iwe siku njema ya Baraka tele kwa kila mmoja wetu 🙏
KG wa isidingo
Walakum msalamAsalaam Alyeiku
Choroko na mbaazi sawa.Jamii yoyote ya maharage (legumes) inatosheleza: dengu, choroko, mbaazi, njugu mawe, ....nk
AU hata NUTS: karanga, korosho, nk
Baharini kuna aina nyingi za samaki wa kutisha broDuh.. huyu ni samaki kweli au picha ya kutengeneza?
Bora awe Vasco Da Gama lakini watanzania tupate uhuru wa kukosoa utendaji wa serikali yake, kuliko ajifungie nyumbani huku akiamrisha vikosi vya wasiojulikana watupoteze kama alivyofanya mtangulizi wake.Mama aangalie. Hawatakawia kumpachika u-Vasco da Gama sasa hivi. Wabongo hawajui nini [emoji16][emoji16][emoji16]