moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tupambane kwenye kumi la mwisho kuadhimisha ujio wa Qur'an Duniani kwenye usiku huu bora kuliko zote.Usiku wa Cheo (Laylatul Qadar)
Ulio katika kumi la mwisho Ramadhwaan.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]"Ibada yoyote itakayotendwa Usiku huo ni bora kuliko ibada ya miezi Elfu"
[emoji120][emoji120][emoji120]"Hakika sisi tumeitelemsha Qur-an katika Laylatil-qadar"
Duuh🙄Baharini kuna aina nyingi za samaki wa kutisha broView attachment 1771911
😂😂😂
AmeenTupambane kwenye kumi la mwisho kuadhimisha ujio wa Qur'an Duniani kwenye usiku huu bora kuliko zote.
Swala, dhikri, tahriri, tasbih, kusoma Qur'an nk.[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1771922