Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikundi cha baadhi ya askari wa kukodiwa wakizungu wakihojiwa baada ya kushindwa jaribio la kuipindua serikali ya kijamaa ya Rais Albert Rene 1981. Waliingia kama watalii mpango ulioandaliwa na Afrika Kusini kwa lengo la kumrudisha madarakani Rais wa zamani bepari James Mancham.
View attachment 1771435
Dooh🙄
Ingekuwa kwa baadhi ya nchi zetu tayari wasingekuwa na vichwa juu yao
 
Back
Top Bottom