Jean-Pierre Adams alikua ni mchezaji mpira wa taifa la Ufaransa, Mwaka 1982 alifanyiwa upasuaji na kuna makosa kadhaa yalifanyika kipindi cha Upasuaji hali iliyopelekea azimie (Coma) kuanzia mwaka huo mpaka sasa. Mke wake bado anaendelea kumhudumia kama kawaida na hufanya nae sherehe zote muhimu kama Siku yake ya kuzaliwa, Ukumbusho wa ndoa yao etc.