ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Asante kwa mualiko mpendwa, usimsikilize huyo babu wa kipemba anataka ale sambusa zilizoandaliwa kwa ajili yanguAkili yako imeshajijenga kwamba unajua
Bila kusahau mpendwaThe happiness namualika pia.
Asante kwa mualiko mpendwa, usimsikilize huyo babu wa kipemba anataka ale sambusa zilizoandaliwa kwa ajili yangu
Ubishi kama huu🙄dah! basi hao jamaa hawana utofauti na wakojani kwa ubishi.
vipi kuhusiana na uchapaji kazi wao?
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1782023
Hadi aibu jamani, sijui nisingizie VPN??😬Hivi auntie nani huyo kakuficha jamani unaonekana mara moja moja kama bombadia yetu pale uganda na kenya