Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ila maurinyo ana bahati aiseee kama ni nyota basi ile inayong'aasana. anatimuliwa huku hajakaa sana keshadakwa kule daah
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongereni wakulima wote...
😂😂😂😂😂😂😂singizia swaumu kaliHadi aibu jamani, sijui nisingizie VPN??😬
Njema bro[emoji120]Kwema bro, habari za mfungo?
Shukrani kwa comment yako njema,Mungu azidi kukubariki MpendwaLast month nilitimiza miaka kadhaa,sasa wakati nawaza chakufanya siku hiyo,nikapata wazo la fasta kutembelea wazee wangu,maana baba ni mgonjwa wa muda na mother ndio anamuhudumia.
Sikuwapa taarifa ya ujio wangu,ila nilivyofika tu walifurahi sana,nikawashukuru kwa malezi na yote waliyofanya juu yangu na ndugu zangu.
Kiukweli ilikuwa moja ya siku ya kumbukizi kwangu maishani,kuona wanafurahia uwepo wangu na kula pamoja nao siku hiyo ya kumbukumbu. Ile furaha yao ilifungua vitu vingi sana kwangu,nashare hii kwenu ndugu zangu kuonyesha ni kwa namna gani tukiutumia muda vizuri wa wazazi tunaenjoy maisha.
Najua pia wapo ambao hawana mahusiano mazuri na wazazi wao,poleni sanaaa Mungu awajalie patano kati yenu,mfurahie kile kidogo alichowabariki pamoja nao.
😂😂😂eeh auntie saumu kali sanaa😒😂😂😂😂😂😂😂singizia swaumu kali
😂😂😂😂😂😂😂inaisha kesho na oh my landlord😂😂😂eeh auntie saumu kali sanaa😒