Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
πππππππππTFF hawafai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1782487
πππππππππTFF hawafai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1782487
Wanatupa kazi ya kuchungulia nguo zetu za sikukuu kila mdaππeti jamani yaani nishanunua pilau masala na pilau mix kuwasindikiza. Mtaa ninaoishi bila pilau pua zitauma kwa madiko diko ya majiraniπππππππ
Nilipitamo huko jana, nikakuta nyumba ipo kimyaa....za siku auntie.?nilijua tu maana kule seoul kimya kila mtu anamalizia misosi yake taratiibu bila kupiga kelele
Hahaha..
salama mrembo wetu,mzima?Nilipitamo huko jana, nikakuta nyumba ipo kimyaa....za siku auntie.?
Mzima kabisa, ila nimeikosa landlord dramasalama mrembo wetu,mzima?
Mzima kabisa, ila nimeikosa landlord drama
Asante auntie, nimeipata tena naiweka shortcut kwenye screen π¬Oh My Ladylord English Sub | KissAsian
Watch and download Oh My Ladylord with English sub in high quality. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
nilikosea jina
hii nimeivuta hadi episode 10 wiki moja iliyopita ila cha kushangaza sijaangalia hata episode moja nimekua mvivu siku hiziAsante auntie, nimeipata tena naiweka shortcut kwenye screen π¬
Hiyo itakuwa ngumu bro.
Mmh wewe huyo?hii nimeivuta hadi episode 10 wiki moja iliyopita ila cha kushangaza sijaangalia hata episode moja nimekua mvivu siku hizi
Mmh wewe huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Uganda na Rwanda ni kesho Alhamis. Kenya na Tanzania Ijumaa.Wanatupa kazi ya kuchungulia nguo zetu za sikukuu kila mda[emoji23][emoji23]