Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulijuaje natapa tapa baada ya kumaliza Queen🤗😂😂
😂😂😂😂😂😂😂inaisha kesho na oh my landlord
nilijua tu maana kule seoul kimya kila mtu anamalizia misosi yake taratiibu bila kupiga keleleUlijuaje natapa tapa baada ya kumaliza Queen🤗
aaaaah jamaniiiii si angesema kesho tu. ndo nimetoka kuuliza saivMufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr ni Ijumaa Mei 14, 2021.
Watu tumeshachambua vitunguu swaumu dahaaaaah jamaniiiii si angesema kesho tu. ndo nimetoka kuuliza saiv
eti jamani yaani nishanunua pilau masala na pilau mix kuwasindikiza. Mtaa ninaoishi bila pilau pua zitauma kwa madiko diko ya majirani😂😂😂😂😂😂😂Watu tumeshachambua vitunguu swaumu dah
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr ni Ijumaa Mei 14, 2021.
Jamani eee kesho idd ama?
aaaaah jamaniiiii si angesema kesho tu. ndo nimetoka kuuliza saiv
Watu tumeshachambua vitunguu swaumu dah
TFF hawafai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]eti jamani yaani nishanunua pilau masala na pilau mix kuwasindikiza. Mtaa ninaoishi bila pilau pua zitauma kwa madiko diko ya majirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]