Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku nimeandika lugha kali humu,katika watu kunisema naye akawa anasapoti..nikasema hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku yeye ndio kinara wa kushambulia wenzie hasa mtu akiwa na mtazamo tofauti na wake[emoji1787]
Nikajifikiria sijui nimjibu[emoji16],nikaamua kuacha tu maana tayari Moto ulikuwa umeshakolea Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ana tabia na roho mbaya sana halafu hachelewi kujigeuza victim na kuanza kumtaja Sir God. Siku ile ulikua sahihi aiseee ningekua mie wangenitambuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ana tabia na roho mbaya sana halafu hachelewi kujigeuza victim na kuanza kumtaja Sir God. Siku ile ulikua sahihi aiseee ningekua mie wangenitambua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.
Nayeye akaunga mkono mimi kushambuliwa kwa sababu tu anasapoti alichokiongea Nape (wanamkomoa Marehemu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.
Nayeye akaunga mkono mimi kushambuliwa kwa sababu tu anasapoti alichokiongea Nape (wanamkomoa Marehemu)

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wana wivu hadi kwa marehemu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wana wivu hadi kwa marehemu
Wabongo wanapambana na marehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni marehemu ila bado anawanyoosha watu huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…