Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umasikini umepitwa na wakati, ujanja ni kufanikiwa.
Mambo mrembo? Hope uko poa hapo maeneo ya Kisesa..

Kuna siku uliweka link ya drama moja ya kikorea hapa jukwani, nami nikajarbu kuishusha kwa kupitia ile link, mwisho wa siku nikafeli... Sasa sijui nilikosea wapi? Maana hizi za kikorea zinanishinda kuzishusha..

Hapo chini nmeambatanisha na screenshot ya pale nilipofikia


View attachment 1789699
 

Attachments

  • Screenshot_2021-05-13-01-02-30-02.jpg
    70.7 KB · Views: 11
Mimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.
Nayeye akaunga mkono mimi kushambuliwa kwa sababu tu anasapoti alichokiongea Nape (wanamkomoa Marehemu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Subira ni kitu muhimu sana.
Jitahidi usemezani na watu kwa weledi, ukiona unayesemezana naye anakupeleka kwenye shari jitoe.
Subira na uvumilivu siyo udhaifu wala si ujinga ni UJASIRI.
Vyama au watu tunaowatetea humu hawana cha maana kikubwa wanachotupatia, ni mapenzi tu.
Hata kama anayetukanwa ni mzazi wetu, hatuna cha kufanya tukubali ukweli huo, maana amejiingiza mwenyewe kwenye kazi ya jamii.
Kwa kawaida ukiona kundi kubwa la watu jua kuwa siyo wote watakupenda, kuna wenye chuki na wewe bila kujali anakujua au laa, umemkosea au laa.
 
poa kijana wa maduka saba

huwa natumia hio FE click hapo kwenye FE utakua umetoa huo unjano kutoka hapo p2p mpaka kwenye FE kisha bonyeza katikati kama unaplay ikishaanza kuplay kuna kimshale cha kudownload click hapo itaanza kudownload

njia ya pili ukishabonyesha kwenye FE scroll utaona neno click here to download utaifata mpaka mwisho utafanikiwa kudownload japo njia hii itahitaji ukae na karatasi na kalamu kuandika namba za episode. so njia nzuri ni hio ya juu
 
Ni kweli ustaadh.
Na mtu kuwa upande ambao hausapoti wewe ni jambo la kawaida.

Mimi siwezi kukuchukia wewe hapa eti kwa sababu tu haupo ule upande ambao mimi nipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ustadhi moud busara zake zipo kwako pale unaposhambulia watu kwa nia ya kujitetea mwambie siku moja moja awe anakutetea na kuelewa lengo lako
Ni kweli ustaadh.
Na mtu kuwa upande ambao hausapoti wewe ni jambo la kawaida.

Mimi siwezi kukuchukia wewe hapa eti kwa sababu tu haupo ule upande ambao mimi nipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…