Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kabisa yaani[emoji122]ustadhi moud busara zake zipo kwako pale unaposhambulia watu kwa nia ya kujitetea mwambie siku moja moja awe anakutetea na kuelewa lengo lako
Wakati unabishana na mtu cha kwanza soma busara yake, ukigundua hana busara hata ukimpeleka kwa hakimu ataona umempa rushwa.ustadhi moud busara zake zipo kwako pale unaposhambulia watu kwa nia ya kujitetea mwambie siku moja moja awe anakutetea na kuelewa lengo lako
Sawa bro, nmekuelewa sasa
πππππππππnimechekaaa ustadhi banaWakati unabishana na mtu cha kwanza soma busara yake, ukigundua hana busara hata ukimpeleka kwa hakimu ataona umempa rushwa.
Nikigundua unabishana na mtu wa aina hiyo sitaweka neno la utetezi.
Utetezi muhimu kwako ni kukupa ushauri ujiondoe kwenye mabishano.
πππππππasanteNdiyo maana huwa nakusiafia sana wakati haupo ili kuepuka dhana ya aina hii[emoji120]
ππππππππ[emoji23][emoji23]
"Biashara bila matangazo ni sawa na kumkonyeza mwanamke Gizani"
Kamari,ujambazi, udokozi, utapeli, utajiri wa kichawi, misukule, vibwengo,vizombi nk, nk, nk.Njia ya mkato itakuchelewesha kufanikiwa.
maduka saba [emoji28]poa kijana wa maduka saba
huwa natumia hio FE click hapo kwenye FE utakua umetoa huo unjano kutoka hapo p2p mpaka kwenye FE kisha bonyeza katikati kama unaplay ikishaanza kuplay kuna kimshale cha kudownload click hapo itaanza kudownload
njia ya pili ukishabonyesha kwenye FE scroll utaona neno click here to download utaifata mpaka mwisho utafanikiwa kudownload japo njia hii itahitaji ukae na karatasi na kalamu kuandika namba za episode. so njia nzuri ni hio ya juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante
Asitutishe [emoji28][emoji28]
Same kwa watumiaji wa mirungi wa Namanga, wanaenda kusaga mirungi Kenya, then wanakuwa andasi, wakishamaliza wanatema halaf wanarudi Bongo, askari wa mpakani wanaangalia [emoji2][emoji2]
Hahaha hizi mbinu duh ππSame kwa watumiaji wa mirungi wa Namanga, wanaenda kusaga mirungi Kenya, then wanakuwa andasi, wakishamaliza wanatema halaf wanarudi Bongo, askari wa mpakani wanaangalia [emoji2][emoji2]
Ningeshangaa nisingeiona Mbeya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
πππππfull kuhamisha locations.maduka saba [emoji28]
Asante sana, leo usiku nitajarbu tena