Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuleni papai kwa wingi
FB_IMG_1621361180015.jpg
 
Tafiti: Makalio ya Mwanamke kwa Mwanaume ni sawa na dawa za kulevya. Inaelezwa kuwa Mwanaume anapotazama Makalio ya Mwanamke (Makubwa) ubongo huathirika sawa na mtu aliyetumia Pombe au Dawa zingine za kulevya.

Naufanyia lamination huu utafiti mtu akiniomba kitambulisho nampa [emoji1]
ap12443002.jpg
 
Siyo memba huyo. Ni mvamizi tu aliyekuja kuharibu uzi wetu uliokuwa umejaa amani, upendo na furaha. Kuishi vyema na watu nacho ni kipaji tena adhimu sana [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwa umri wangu lugha za kejeli,dharau na matusi huwa nashindwa kuhimili, najikuta naishia kusoma utafiti wa Numbisa, nikimaliza nafunika uzi naondoka.
 
Kwa umri wangu lugha za kejeli,dharau na matusi huwa nashindwa kuhimili, najikuta naishia kusoma utafiti wa Numbisa, nikimaliza nafunika uzi naondoka.
Vijana wanafikiri kuporomosha matusi mitandaoni humu ndiyo umwamba kumbe ni dalili za ugonjwa wa akili, malezi ya hovyo na misguided anger pengine kutokana na trauma za utotoni na dhuluma za ukubwani. Hovyo tu !!!
 
Back
Top Bottom