Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa umri wangu lugha za kejeli,dharau na matusi huwa nashindwa kuhimili, najikuta naishia kusoma utafiti wa Numbisa, nikimaliza nafunika uzi naondoka.
Mahari tunataka ng'ombe wa aina hii. Wale wenye vichwa vikubwa na miili midogo kama siafu hatutaki hata kuwaona [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
400186200812_100583.jpg
 
Vijana wanafikiri kuporomosha matusi mitandaoni humu ndiyo umwamba kumbe ni dalili za ugonjwa wa akili, malezi ya hovyo na misguided anger pengine kutokana na trauma za utotoni na dhuluma za ukubwani. Hovyo tu !!!
Shemeji, yeyote aliye above 45yrs ni mtu mzima, na hao ndio wanaongoza kwa lugha za hovyo, vijana wengi akili zao zipo kwenye mapenzi na utawakuta kwenye uzi wa Kimasihara.
Kuna baadhi yetu wamefanikiwa hata kufika Ulimwenguni huko lakini hakuja wasaidia kubadilisha fikra walizo zipata huko kwa kuchanganya na za huku kupata kitu chanya. Muda wote ni ukosoaji tu, mama kaanza juzi kwa kushangiliwa leo hii anakosolewa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini maisha ni haya haya shemeji, twende kwa step ya jumla.
 
Mungu na Atusaidie shemeji tumalizie ngwe yetu salama. Tuache vialama alama hivi hata kama ni hafifu tu kwa wapendwa wetu na wengine tulioweza kugusa maisha yao kwa wema.

Mama atakuwa OK ila atambue kuwa kwa kazi aliyonayo hawezi kumfurahisha kila mtu na ajiande tu kusemwa na kutukanwa. Cha muhimu asimamie ajenda aliyonayo na kusonga mbele huku akisimamia haki. Mengine amwachie Mungu.
 
Vijana wanafikiri kuporomosha matusi mitandaoni humu ndiyo umwamba kumbe ni dalili za ugonjwa wa akili, malezi ya hovyo na misguided anger pengine kutokana na trauma za utotoni na dhuluma za ukubwani. Hovyo tu !!!
Mi nadhani tungekuwa tunajuana umri humu tungeachiana majukwaa.
Unasema aah uzi wa watoto huo waache, huyoo unatafuta wazee wenzako.
Na wenyewe pia wangesema tu, uzi wa wazee huo twende MMU,[emoji23][emoji23], kwakuwa tumechanganyika sana hakuna namna.
 
Mungu na Atusaidie shemeji tumalizie ngwe yetu salama. Tuache vialama alama hivi hata kama ni hafifu tu kwa wapendwa wetu na wengine tulioweza kugusa maisha yao kwa wema.

Mama atakuwa OK ila atambue kuwa kwa kazi aliyonayo hawezi kumfurahisha kila mtu na ajiande tu kusemwa na kutukanwa. Cha muhimu asimamie ajenda aliyonayo na kusonga mbele huku akisimamia haki. Mengine amwachie Mungu.
Mungu atujaalie hata hicho kidogo cha kutufanya tuishi kwenye Nafsi za watu hata wawili tu [emoji120]
 
Back
Top Bottom