Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki wa Uhispania Marcos Alonso, 30, na beki wa kushoto wa Itali mwenye umri wa miaka 26 Emerson Palmieri wanapigania kuondoka Chelsea mwisho wa msimu huu ili kujaribu kutafuta fursa katika ligi ya Serie A , kwa kuwa wote wanataka kuhisi kwamba wao ni muhimu kwa mara nyengine.
 
Duniani kuna watu wana roho mbaya sana. Shuhudia mtu anaumia roho kwa mtu kupost hapa!!! Ama kweli Mwenyezi Mungu ni mwema sana.
Mtu ANAKURUPUKA tu na kuassume vile atakavyo yeye bila kuwa hata na chembe ya ushahidi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…