Namna nzuri ya kupunguza “stress” msongo wa mawazo
Kuna baadhi ya waungwana wanasema sio rahisi kuondoa msongo wa mawazo la hasha zipo namna mbalimbali za kuondoa msongo wa mawazo ili maisha yaendelee vema.
Unapokuwa na msongo wa mawazo unaweka reheni afya. Takwimu zinaonyesha asilimia kubwa ya watu wazima wana msongo wa mawazo ingawa kuna namna tofauti za kupunguza msongo wa mawazo kama ifuatavyo;-
Mazoezi huongeza ubora wa kujiamini na kama tujuavyo kujiamini ni chanzo kukubwa cha mafanikio.
Mfano wa mazoezi rahisi ni kama kukimbia ama kutembea kwa maana yanahusisha marudio ya mzunguko katika misuli (makundi ya misuli) na kupunguza msongo wa mawazo.
Mazoezi pia huleta muonekano unaovutia kwa kila anaye yafanya kila wakati.
Matumizi ya mishumaa iliyowashwa;- hii ni namna ambayo imekuwa ikiaidia kupunguza msongo wa mawazo hasa unapochagua harufu uipendayo kama ivle “Rose, Srowbell, yasmin na kadhalika.
Kupunguza matumizi ya kafein (caffeine) katika vinywaji kama vile, kahawa, chai, chokoleti na vinywa, vinaoyoongeza nguvu lakini kwa kinywaji cha kahama unashauriwa angalau usinywe zaidi ya vikombe vitano kwa siku.
Matumizi bora ya vyakula bora (Balance Diet) au virutubisho lishe.
Ifahamike maranyingi vyanzo vikuu vya msongo wa mawazo ni kupoteza wapendwa wetu, talaka, kupoteza kazi, uhitaji wa fedha, hamu ya kuolewa au kuoa, hamu ya kuhamia nyumba mpya, magonjwa sugu (ya muda mrefu) mihemko itokanayo na changamoto za maisha, hasira, wivu, n.k uchovu wa kazi n.k
Wakati kila mmoja wetu akijitahidi kusukumana na kukimbizana na maisha ya kila siku, jitihada hizi zinaambatana na misukumo na misongamano mbalimbali ambayo pasipo kukwepa inatuletea msongo wa mawazo “stress” na hii huweza kusababisha athari katika afya zetu na hisia zetu.
Ni muhimu sana kila mmoja wetu akafahamu namna au mbinu za kuushinda msongo huu wa mawazo kabla haujakuzidi na kuleta athari mbaya zaidi katika maisha yako. Labda kabla sijaendelea mbali ni bora ukafahamu kwa ufupi nini madhara ya msongo wa mawazo ili uweze kuuepuka
Mechi ya marudiano lini kamanda? Nawaombea mchomoe kwa niaba ya taifa. Lakini mpunguze kujiamini, maneno na dharau hasa yule msemaji wenu dah! [emoji51][emoji51][emoji51]