moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jipenyezi kwa rafiki yako bro akupigie debe
- yeye hanijui, nimemfahamu kupitia kwa rafiki yangu tuliosoma pamoja (wanaishi jirani)
- bado hatujaufahamu utawala wa mwinyi eneo la ajira
- utawala wa shein ndio ulijaa connection za kijinga jinga eneo la ajira bila ya kusahau kufuatiliwa kijinga na watu wa system, usiombe mzee wako awe na chembe chembe za kisiasa za kipinzani.........umeumiaaaa
yeye mwenyewe kashindwa, hao wanawe na jamaa zake hana habari nao sembuse mimi.Jipenyezi kwa rafiki yako bro akupigie debe
Kwani ni mtanganyika?yeye mwenyewe kashindwa, hao wanawe na jamaa zake hana habari nao sembuse mimi.
pengine damu ya kitanganyika bado inamuandama
teh teh teh
mzanzibar mwenye asili ya huko kwenuKwani ni mtanganyika?
Mbona watanganyika wanapeana connection huku?
poor her angekua na washauri wazuri angeishi kwa raha mno. Hope ataacha kuanika siri za Marehemu