Watu buana eti a jealous girlfriend is a faithful girlfriend. If she doesn't get jealous when someone has your attention, it's because someone has hers.
Mwanvuli hauzuii mvua kunyesha ila unaweza kukufanya ukaendelea na shughuli zako kwenye mvua, ni sawa tu kama ulivyo ujasiri unaweza usikupe mafanikio ila ukakupa nguvu ya kupambana na changamoto za maisha.
Wengi wanaamini utapimlo ni kuwa mwembamba sana lakini kuwa na uzito mkubwa kuliko inavyotakiwa kiafya ni utapiamlo pia. Kitu kinachokuweka kwenye hatari ya maradhi ya moyo, figo, kupanda kwa shinikizo la damu vitu vinavyosababisha upungufu wa nguvh za kiume
Kabla hujaamua jinsi ya kula, unapaswa kufahamu ni kalori (nguvu) kiasi gani unahitaji kwa siku. Hii inaweza kupatikana kwa kikokotozi maalumu cha Kalori (Nguvu) kinachotumia kimo, uzito, umri na shughuli za mhusika.
Tafiti nyingi zimedai ili mwanamke aridhike anahitaji kufanya tendo kwa angalau dakika 15 hadi 20. Kuchelewa kufikia mshindo hutokoea pale mwanaume anapotumia daika zaidi ya 30 kufikia mshindo.
Ili kutatua matatizo ya nguvu za kiume inapaswa kuchunguza afya kiujumla na kubaini chanzo hasa kisha kutatua kama ni maradhi au uzito kupita kiasi kinachotakiwa kiafya