Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti zinadai angalau 15% ya watu wenye upungufu wa nguvu za kiume wana hatari ya kupatwa na matukio hatari kama kiharusi (stroke) au mshituko wa moyo (heart attack) ndani ya miaka 7 tangu wawe na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
 
Ingawa wanaume wanaweza kushiriki tendo la ndoa hadi uzeeni ila nguvu za kiume hupungua kulingana na umri unavyoongezeka, wanaume wanaweza kuchelewa kusimamisha, kuwahi kufikia mshindo na shahawa kutoka kwa uchache au kasi ndogo sana.
 
Shemeji njoo. Tafiti za Esta zimepamba moto huku [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…