Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wanawake wa marekani wenye asili ya Mwanza wana tabu sana
=================
#UNAAMBIWA: Mwaka 2017, Mzee wa miaka 70 Lawrence John Ripple kutoka Jiji la Kansas,Missouri nchini Marekani alivamia Bank akiwa na Silaha na akamlazimisha Muhudumu wa Benk ampe USD 3000 (Tsh. Mil 6.9) baadaye alikaa palepale akisubiri Polisi waje wamkamate akisema ni bora aende jela kuliko kuendelea kubaki na Mkewe mwenye gubu ambaye wanagombana kila siku na anampa stress.
Alikamatwa lakini baadaye Rais wa Benki na Muhudumu wa Benki (aliyempa pesa Mzee huyo) waliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwakuwa alionekana ni mwenye stress.
Badala ya kuhukumiwa kwenda Jela kwa kifungo cha zaidi ya miaka 20 kwa uvamizi wa Bank, Mahakama ilimuhukumu miezi 6 ya kifungo cha nyumbani ambako alikuwa anakukwepa wakiamini hiyo ni adhabu tosha kwake.
View attachment 1793663
Watake radhi wanawake wa Mwanza(una maanisha wanawake Wasukuma sio)

Wanawake wa kisukuma wastaraabu na wasio na mambo mengi!!
 
We can’t seem to live without the internet, but still only around half the world’s population is connected. There are many reasons for this, including economic and social reasons, but for some the internet just isn’t accessible because they have no connection.
 
Google is slowly trying to solve the problem using helium balloons to beam the internet to inaccessible areas, while Facebook has abandoned plans to do the same using drones, which means companies like Hiber are stealing a march. They have taken a different approach by launching their own network of shoebox-sized microsatellites into low Earth orbit, which wake up a modem plugged into your computer or device when it flies over and delivers your data.
 
naomba radhi
=======
godfather of harlem umewahi kuiangalia?
Yes bro...

Bumpy Johnson,anatoka jela baada ya kutumikia kifungo cha miaka 10,kabla ya kwenda jela Bumpy alikuwa mtu wa biashara haramu na alikuwa na magenge ya wahalifu pia,hasa hasa akifanya biashara za madawa...

Baada ya kurudi uraiani, anakuta system nzima imebadirika, biashara zote haramu ndani ya Harlem zinaongozwa na Waitaliano ule utemi wake aliouacha kabla ya kwenda jela haupo tena.. Hapo ndio anaanza kupambana tena kurudisha jina na heshima yake...

Ndani ya TV show hii, inamzungumzia kwa undani mwanaharakati Malcom X, kwani kabla ya Bumpy hajafungwa,Malcom X alikuwa mshirika wake wa biashara hizo, baada ya kutoka jera anamkuta Malcom ameachana na biashara hizo, na amejikita kwenye kueneza dini ya Kiislamu..

Series hii pia inaonesha maisha ya bondia maarufu Mohammed Alli..pamoja na ubaguzi wa rangi miaka hiyo ya 1960

Iko na season moja kamili, ya pili iko ongoing, ina ep 4 kama sikosei... Nasubiri ikamilike niitizame, mzigo mzuri sana huu
 
FB_IMG_1621442264565.jpg
 
Back
Top Bottom