Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

munatusingizia sisi wapemba waislamu tunatoza mahari mengi kumbe nanyi ndio mabingwa
ng'ombe 50 ni millioni 20 kwenda juu kwa bei ya Zenji
Hapana. Ukiambiwa ng'ombe 50 unanegoshieti sasa kila ng'ombe awe sh. ngapi. Unaweza kupigwa laki moja kila ng'ombe (milioni 5), elfu hamsini kila ng'ombe (milioni 2.5) na kuendelea. Kama familia na binti wanakukubali mtaelewana tu!
 
ZANZIBAR YAPOKEA VIFAA VYA KUPIMA #COVID19 VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 250
Vifaa hivyo ni vya Kampuni ya SD Biosensor ya Korea na vina uwezo wa kutoa majibu ndani ya Dakika 15
#Zanzibar imesema itaongeza wigo wa upimaji kwa Wananchi
=========
  1. aghlabu kumuona mgeni na barakoa huku visiwani,
  2. ramadhani nilitembelea soko la darajani, licha ya kukutana na wageni wengi sana ndani ya muda mfupi ni mchina pekee akiwa na mwanawe ndiye aliyevaa barakoa.
  3. zanzibar hakuna corona
  4. karibuni zanzibar ila ushamba muutupe kule
  5. kuna mmasai alitapeliwa pesa na wajanja, aliingizwa msikiti wa mabluu (upo kwenye maji) mwenyewe alidhani ni meli ya kwenda dar-es salaam
  6. aiseee mbona rimeli lipo hapa hapaaaaa
  7. hata wageni hawavai barakoa na wala hawatuogopi
  8. tunapanda nao daladala za 400 kama kawaida
1621690196873.png
 
View attachment 1794042
maskini masai wa watu

Corona ni biashara na dili za watu. khna hela inapigwa hapo
 
Hapana. Ukiambiwa ng'ombe 50 unanegoshieti sasa kila ng'ombe awe sh. ngapi. Unaweza kupigwa laki moja kila ng'ombe (milioni 5), elfu hamsini kila ng'ombe (milioni 2.5) na kuendelea. Kama familia na binti wanakukubali mtaelewana tu!
hapo afadhali
kama watu muna utajiri wa mifugo namna hiyo niwape heshima.
Naamini ndugu zangu wa kipemba wanafika huko vijijini kwenu kununua mifugo
huku kwetu ukileta dume wa maana wa ng'ombe una uhakika wa kupata laki 9 mpaka millioni 1.5
 
Kulitoa huko mpaka kulifikisha huko visitation ndo shida sasa.
 
Back
Top Bottom