Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingawa wanaume wanaweza kushiriki tendo la ndoa hadi uzeeni ila nguvu za kiume hupungua kulingana na umri unavyoongezeka, wanaume wanaweza kuchelewa kusimamisha, kuwahi kufikia mshindo na shahawa kutoka kwa uchache au kasi ndogo sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
huo uchokozi sasa ahjussi😂😂😂😂😂
#nilikulenga wewe lakini nikaamua kushusha bendera.
#vita iliingiliwa na bwana Nigendako kabla ya wasukuma wenyewe hawajaingia ulingoni.
#nimetubu
#sitowajaribu tena watu wa Mwanza
#wana jeshi la kukodiiiiiiiiiii
#mpaka comment nimefuta
#kwa kuhofia kuchukiwa na wasukumaji tarumbetaaa
#mpemba koma na mdomo wako
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wasuku wako na mabinti poa sana wakarimu

#nmekamatikakwamsukumammoja
 
Yes bro...

Bumpy Johnson,anatoka jela baada ya kutumikia kifungo cha miaka 10,kabla ya kwenda jela Bumpy alikuwa mtu wa biashara haramu na alikuwa na magenge ya wahalifu pia,hasa hasa akifanya biashara za madawa...
nitaitafuta
hii tehran series ni overrated
labda kwa kuwa nimeathiriwa na siasa za ayatollah
😛😛😛
 
Watake radhi wanawake wa Mwanza(una maanisha wanawake Wasukuma sio)

Wanawake wa kisukuma wastaraabu na wasio na mambo mengi!!
Bro, chukua mabaunsa wawili wa kuaminika hapo (trained ninjaz) kwa ajili ya ulinzi wako pamoja na familia yako. Nitalipia miezi 6. Na sanamu yako kubwa ikasimikwe pembeni mwa lile sanamu la samaki linalotemaga maji 24/7. You deserve it bro [emoji122][emoji122][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
de15c9205b8d479051e604cb5774bad5.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wasuku wako na mabinti poa sana wakarimu

#nmekamatikakwamsukumammoja
Umekamatika eeeh!

Ni cheupe?

Mwenye msambwanda?

Ni mrefu?

Amesoma?

Andaa angalau ng'ombe 50 hivi (au angalau laki moja na elfu hamsini kwa kila ng'ombe)

Ofishale karibu sana Usukumani bro. Mzee wa Mwakaleli anaweza kukupa mbinu zaidi za jinsi ya kuishi kwa amani na mabinti wa Kisukuma - wapole, wachapakazi, wenye roho safi na binadamu wema sana!
 
#nilikulenga wewe lakini nikaamua kushusha bendera.
#vita iliingiliwa na bwana Nigendako kabla ya wasukuma wenyewe hawajaingia ulingoni.
#nimetubu
#sitowajaribu tena watu wa Mwanza
#wana jeshi la kukodiiiiiiiiiii
#mpaka comment nimefuta
#kwa kuhofia kuchukiwa na wasukumaji tarumbetaaa
#mpemba koma na mdomo wako
😂😂😂😂😂😂😂mpemba tunakupiga tu kwa ugali maharage na maziwa mgando hadi unasahau urojo
 
Back
Top Bottom