Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa huwaga ni kimya kimya hautasikia chochote
Nakuja PM ili kupata ukweli sis. Machale yananicheza mpaka basi. Isije ikawa umeula ubalozi [emoji116][emoji116][emoji116]
IMG-20210522-WA0046.jpg
IMG-20210522-WA0047.jpg
 
ukija zanzibar utashangaa
hawa ndio wazungu wanaoimba wimbo wa corona huko kwao
hawavai barakoa wala barakowa.
wanachanganyika na waswahili bila ya presha
tena maeneo ya hatari kama sokoni
Wanatamani mno tunavyoishi huku ila ndo vile wapo kama jamaa wa jukwaa la siasa wasivyopenda kuona mwendazake akipewa sifa. nao wazungu inawachukiza kuona corona tumeidhibiti kienyeji enyeji na bado hatupukutiki kama wao
 
Bro, chukua mabaunsa wawili wa kuaminika hapo (trained ninjaz) kwa ajili ya ulinzi wako pamoja na familia yako. Nitalipia miezi 6. Na sanamu yako kubwa ikasimikwe pembeni mwa lile sanamu la samaki linalotemaga maji 24/7. You deserve it bro [emoji122][emoji122][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
View attachment 1794035
[emoji28][emoji28][emoji28] asante sana bro, huu ulinzi nimeupokea kwa mikono yote miwili
 
Back
Top Bottom