Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

yule BIBI MANUNU haeleweki kama halua ya mpemba
  1. akipata mchumba msukuma, anahama kabila lake
  2. akipata mchumba mpenda gemu, na yeye anapenda gemu
  3. akipata mchumba mpaka lipstick za wakorea, na yeye anahamia korea
  4. akipata mchumba anayependa man city, anahamia city
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂akipata mleta mapacha anamuweka akiba kwa matumizi ya mbelen
 
Umekamatika eeeh!

Ni cheupe?

Mwenye msambwanda?

Ni mrefu?

Amesoma?

Andaa angalau ng'ombe 50 hivi (au angalau laki moja na elfu hamsini kwa kila ng'ombe)

Ofishale karibu sana Usukumani bro. Mzee wa Mwakaleli anaweza kukupa mbinu zaidi za jinsi ya kuishi kwa amani na mabinti wa Kisukuma - wapole, wachapakazi, wenye roho safi na binadamu wema sana!
Nimekamatika Bariadi bro, [emoji28][emoji28] toto moja matata sana, linafaa lipostiwe kule kwenye ule wanu wa malejendi(ule wa watoto wakali duniani)
 
Back
Top Bottom