Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kodi za nini sasa mke balozi?

Codes zina stress hatari hakuna kulala sometimes. Mume wa balozi hatawezana nazo labda tu afanye kama hobby [emoji16][emoji16]
ndio maana bill gates kwa uchungu na maumivu aliyoyapata ujanani
hatimaye aliamua kuchepuka
chezea code
nilikuwa najibia mtihani tu, ikimaliza semester nageukia wakorea
 
Nimekamatika Bariadi bro, [emoji28][emoji28] toto moja matata sana, linafaa lipostiwe kule kwenye ule wanu wa malejendi(ule wa watoto wakali duniani)
Bariadi nakufahamu sana. Ukifika ulizia hii center. Kuna ndugu yangu hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1564566702135.jpg
 
Bariadi nakufahamu sana. Ukifika ulizia hii center. Kuna ndugu yangu hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1794061
Bro bhana, hili duka mbona ndio la ukweni kwangu, ni hapa hapa yaan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Na mzee wake ndio aliyeandika hapa nasikia
 
Ingawa wanaume wanaweza kushiriki tendo la ndoa hadi uzeeni ila nguvu za kiume hupungua kulingana na umri unavyoongezeka, wanaume wanaweza kuchelewa kusimamisha, kuwahi kufikia mshindo na shahawa kutoka kwa uchache au kasi ndogo sana.
Mmmh, [emoji849][emoji849].
Wazee wenzangu SHIMBA YA BUYENZE na shemeji yako mzee Andjul mnalo la kusema kuhusu utafiti huu?
 
Back
Top Bottom