Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

vijimambo vya uzi wa likes

1. Ruta kaona likes hazilipi heee si kaibukia kwenye betting,kampuni za betting zinamkoma jamaa anakusanya timu mia kwa stake ya sh 1. ee bana kaona aah JF wanamtapel kafungua account insta ukitaka mkeka kamfollow

2. The happiness kapata bebi shabiki wa simba baaasi familia tumetupwa kuleeeeee

3. Oooh kwenye ubalozi hatujasahaulika kgothalo wetu katutoa kimasomaso

4. Ninge kaoa ninge kakamatika ninge wa kurudi home saaa mbili

5. Jirani kapotea,popote mtakapomuona mwambieni tumemisi pole na pongezi kwa wakati mmoja

6. Mashabiki wa simba ndani ya uzi huu muda huu saa kumi na moja wanailazimisha furaha ingawa moyoni wana majonzi nani wa kuwafuta machozi kaiza anawapa presha sana

nimi ripota wetu kutoka nyamhongolooooo

numby babe
 
nje ya urembo hakuwa na shughuli nyengine?
Ni mwanaharakati wa haki za wanawake nadhani. Yawezekana pia kasoma masomo yanayohusiana.

Kuendesha ubalozi kamili nadhani ni kazi inayohitaji uzoefu na maarifa kidogo. Ila balozi zetu nyingi hazina msaada wo wote na hata sijui zina kazi gani!
 
paulo cascoigne gazza
kipaji kilichojimaliza na pombe kali
1621693298775.png
 
Ni mwanaharakati wa haki za wanawake nadhani. Yawezekana pia kasoma masomo yanayohusiana.

Kuendesha ubalozi kamili nadhani ni kazi inayohitaji uzoefu na maarifa kidogo. Ila balozi zetu nyingi hazina msaada wo wote na hata sijui zina kazi gani!
kwa sasa balozi ni kama ka zawadi flani au tupio la wale wanaoshindwa kutumbuliwa huku bongo kama ilivyo kwa ubunge wa kupewa
 
vijimambo vya uzi wa likes

1. Ruta kaona likes hazilipi heee si kaibukia kwenye betting,kampuni za betting zinamkoma jamaa anakusanya timu mia kwa stake ya sh 1. ee bana kaona aah JF wanamtapel kafungua account insta ukitaka mkeka kamfollow

2. The happiness kapata bebi shabiki wa simba baaasi familia tumetupwa kuleeeeee

3. Oooh kwenye ubalozi hatujasahaulika kgothalo wetu katutoa kimasomaso

4. Ninge kaoa ninge kakamatika ninge wa kurudi home saaa mbili

5. Jirani kapotea,popote mtakapomuona mwambieni tumemisi pole na pongezi kwa wakati mmoja

6. Mashabiki wa simba ndani ya uzi huu muda huu saa kumi na moja wanailazimisha furaha ingawa moyoni wana majonzi nani wa kuwafuta machozi kaiza anawapa presha sana

nimi ripota wetu kutoka nyamhongolooooo

numby babe
Rutta baada ya Mwendazake kwendazake ilibidi afunge ule uzi wake wa kuposti na kujijibu mwenyewe mahsusi kwa ajili ya kumponda mwendazake. Sasa kafungua mwingine wa kumsifia mama na mwendo ni ule ule - majadiliano pweke ya nafsi. Ananifurahishaga sana kamanda yule!
 
😂😂😂😂😂na hajali nani atasema hivi wala vile
 
Back
Top Bottom