antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Watake radhi wanawake wa Mwanza(una maanisha wanawake Wasukuma sio)wanawake wa marekani wenye asili ya Mwanza wana tabu sana
=================
#UNAAMBIWA: Mwaka 2017, Mzee wa miaka 70 Lawrence John Ripple kutoka Jiji la Kansas,Missouri nchini Marekani alivamia Bank akiwa na Silaha na akamlazimisha Muhudumu wa Benk ampe USD 3000 (Tsh. Mil 6.9) baadaye alikaa palepale akisubiri Polisi waje wamkamate akisema ni bora aende jela kuliko kuendelea kubaki na Mkewe mwenye gubu ambaye wanagombana kila siku na anampa stress.
Alikamatwa lakini baadaye Rais wa Benki na Muhudumu wa Benki (aliyempa pesa Mzee huyo) waliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwakuwa alionekana ni mwenye stress.
Badala ya kuhukumiwa kwenda Jela kwa kifungo cha zaidi ya miaka 20 kwa uvamizi wa Bank, Mahakama ilimuhukumu miezi 6 ya kifungo cha nyumbani ambako alikuwa anakukwepa wakiamini hiyo ni adhabu tosha kwake.
View attachment 1793663
kwani mwanza yote ni ya wasukuma?Watake radhi wanawake wa Mwanza(una maanisha wanawake Wasukuma sio)
Wanawake wa kisukuma wastaraabu na wasio na mambo mengi!!
Mwanza ina wakazi wa makabila mbalimbali, karbu makabila yote ya Tanzania, yanapatikana Mwanza... Ila jamii kubwa ni wasukuma, unaposema wanawake wenye asili ya Mwanza, una maanisha Wasukumakwani mwanza yote ni ya wasukuma?
naomba radhiMwanza ina wakazi wa makabila mbalimbali, karbu makabila yote ya Tanzania, yanapatikana Mwanza... Ila jamii kubwa ni wasukuma, unaposema wanawake wenye asili ya Mwanza, una maanisha Wasukuma
Yes bro...naomba radhi
=======
godfather of harlem umewahi kuiangalia?
Makabila wengine ni wahamiaji lakini wenyeji ni WasukumaMwanza ina wakazi wa makabila mbalimbali, karbu makabila yote ya Tanzania, yanapatikana Mwanza... Ila jamii kubwa ni wasukuma, unaposema wanawake wenye asili ya Mwanza, una maanisha Wasukuma
Uko sawa broMakabila wengine ni wahamiaji lakini wenyeji ni Wasukuma