Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngeli ya kawaida tu mbona?

Ngeli iliyonyooka sawasawa hapa JF ni Nyani, Kiranga na Malcom/Lumumba.
huyo kiranga ana balaa, kwanza anapenda ligi.
malcom anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kila kijana, ubongo wake umejaa info
nyani, ingilishi yake ni ya kuishi zaidi, sidhani kama ana upeo mkubwa unaotokanwa na kusoma sana.
sidhani kama anakuzidi wewe kiupeo wa kufikiri na kujenga hoja
 
kaka jambazi kilio chake kimesikika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti Manunu, Babu gani anamsakama mjukuu wake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…