Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] saa kumi nimesharudi tayali
 
Kaangalie comment ya #27. Nimecheka hatari [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]

Lakini seriously, hili lina ukweli wo wote?
hahahahahaaa wale wanaotoa madenda mara nyingi wanakuwa wametolewa kafara za utajiri na wazazi wao
wahindi na waarabu wanao mtindo huo(wanafuga watoto matahira nyumbani mwao, wengine huwekwa madukani)
siku hizi sisi wapemba pia tunaiga
====================
hivyo hakuna uhusiano kati ya kutokuwa na kichogo na kuwa kilaza, tahira, mtoa madenda, chizi, kulegea.
utafiti wa jamaa ni wa kijinga
 
PSG nao wanamtaka Kane
  1. thomas tuchel pia ameuzungumzia usajili wake, chelsea wanahitaji zaidi mfungaji kuliko mshambuliaji na kwa haary kane utakuwa ni usajili sahihi
  2. guardiola mnamo mwezi wa 4 alisema hategemei kusajili mshambuliaji, sijui kama ataendelea kusimamia kauli hiyo ni mind games
  3. psg wanamtaka moise kane na tayari everton wameshawaambia wajiandae na paundi millioni 40
  4. si rahisi kwa kane kucheza nje ya uingereza
  5. madrid wanamhitaji zaidi kylian mbappe
  6. barcelona wameshajificha kwa kun agueroo
  7. man utd tumejificha kwa cavani, mwaka ujao tutakwenda kwa haaland
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…