Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
West Ham wanataka kusalia na mshambuliai anayewachezea kwa mkopo wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28. (Mail
Kila hatua tunapata somo, kwa soka walilocheza Simba kwenye hatua za makundi, Dunia nzima ilishangazwa na matokeo ya Simba kufungwa goli 4 huko Sauzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie si wa kuwafunga wale magoli matatu halafu eti wao hawajafunga hata moja!
Kuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshaanza hii kozi kwa mtoto wa Sheikh Yahya[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Ila nimefurahi Simba mmefurukuta weee,mwisho mmetoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilicho mgharimu Simba game yake ya kwanza ni kuichukulie poa Kaizer Chief, kutokana na matokeo yake ya kwenye makundi, tayali Simba iliione Chief kama underdog, matokeo yake wakapigwa goli za mapema tu, zikawatoa mchezoni, kama Simba ingeenda ikiwa na hofu kama inaenda kucheza na Al Ahly hata kama ingepoteza basi isingepoteza kwa idadi kubwa ya magoli kiasi..Kila hatua tunapata somo, kwa soka walilocheza Simba kwenye hatua za makundi, Dunia nzima ilishangazwa na matokeo ya Simba kufungwa goli 4 huko Sauzi.
Kama kweli kuna uchawi kwenye mpira, basi huo ndiyo uchawi.
Vinginevyo Simba ilikuwa na uwezo wa kushinda magoli mengi zaidi ya hayo matatu hapo jana, lakini kuna funzo la kiufundi ambalo bila shaka kocha Gomez ataenda nalo kwenye usajili.
[emoji23][emoji120][emoji120]Kila hatua tunapata somo, kwa soka walilocheza Simba kwenye hatua za makundi, Dunia nzima ilishangazwa na matokeo ya Simba kufungwa goli 4 huko Sauzi.
Kama kweli kuna uchawi kwenye mpira, basi huo ndiyo uchawi.
Vinginevyo Simba ilikuwa na uwezo wa kushinda magoli mengi zaidi ya hayo matatu hapo jana, lakini kuna funzo la kiufundi ambalo bila shaka kocha Gomez ataenda nalo kwenye usajili.
Kwa mechi iliyochezwa Johannesburg kwakweli Simba walifeli hapo.Kilicho mgharimu Simba game yake ya kwanza ni kuichukulie poa Kaizer Chief, kutokana na matokeo yake ya kwenye makundi, tayali Simba iliione Chief kama underdog, matokeo yake wakapigwa goli za mapema tu, zikawatoa mchezoni, kama Simba ingeenda ikiwa na hofu kama inaenda kucheza na Al Ahly hata kama ingepoteza basi isingepoteza kwa idadi kubwa ya magoli kiasi..
Kujiamini kupita maelezo imewagharimu!