antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaHapo hakuna mjita wala muhaya,
Hiyo ni nyanda za juu kusini, maneno ya kuokota jf hayo
Ameeen Pana la kujifunza hapa..Tumia ulimi wako kubariki wengine,
Tumia ulimi wako kubadili maisha yako,
Tumia ulimi wako kujenga
Nawe pia[emoji120][emoji120][emoji120]Amani kwa kila mmoja