Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hata mimi nimeshangaa.Si ajabu walikuwa wanaona mapaka meusi kibao kila wakilikaribia lango la Simba. Haiwezekani timu iliyowapepeta nne kwa nunge wiki jana tu leo ishindwe kufunga hata goli moja [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app