Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

vijimambo vya uzi wa likes

1. Ruta kaona likes hazilipi heee si kaibukia kwenye betting,kampuni za betting zinamkoma jamaa anakusanya timu mia kwa stake ya sh 1. ee bana kaona aah JF wanamtapel kafungua account insta ukitaka mkeka kamfollow

2. The happiness kapata bebi shabiki wa simba baaasi familia tumetupwa kuleeeeee

3. Oooh kwenye ubalozi hatujasahaulika kgothalo wetu katutoa kimasomaso

4. Ninge kaoa ninge kakamatika ninge wa kurudi home saaa mbili

5. Jirani kapotea,popote mtakapomuona mwambieni tumemisi pole na pongezi kwa wakati mmoja

6. Mashabiki wa simba ndani ya uzi huu muda huu saa kumi na moja wanailazimisha furaha ingawa moyoni wana majonzi nani wa kuwafuta machozi kaiza anawapa presha sana

nimi ripota wetu kutoka nyamhongolooooo

numby babe
Hahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rutta baada ya Mwendazake kwendazake ilibidi afunge ule uzi wake wa kuposti na kujijibu mwenyewe mahsusi kwa ajili ya kumponda mwendazake. Sasa kafungua mwingine wa kumsifia mama na mwendo ni ule ule - majadiliano pweke ya nafsi. Ananifurahishaga sana kamanda yule!
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa jf pana burudani za kila kwakweli
 
Furaha ya Amani
FB_IMG_1621708343519.jpg
 
Duuh!🙄
 
Back
Top Bottom