Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila hatua tunapata somo, kwa soka walilocheza Simba kwenye hatua za makundi, Dunia nzima ilishangazwa na matokeo ya Simba kufungwa goli 4 huko Sauzi.
Kama kweli kuna uchawi kwenye mpira, basi huo ndiyo uchawi.
Vinginevyo Simba ilikuwa na uwezo wa kushinda magoli mengi zaidi ya hayo matatu hapo jana, lakini kuna funzo la kiufundi ambalo bila shaka kocha Gomez ataenda nalo kwenye usajili.
 
Kilicho mgharimu Simba game yake ya kwanza ni kuichukulie poa Kaizer Chief, kutokana na matokeo yake ya kwenye makundi, tayali Simba iliione Chief kama underdog, matokeo yake wakapigwa goli za mapema tu, zikawatoa mchezoni, kama Simba ingeenda ikiwa na hofu kama inaenda kucheza na Al Ahly hata kama ingepoteza basi isingepoteza kwa idadi kubwa ya magoli kiasi..

Kujiamini kupita maelezo imewagharimu!
 
[emoji23][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mechi iliyochezwa Johannesburg kwakweli Simba walifeli hapo.
Lakini ile game ya jana nadhani kocha ajisifu na ajilaumu pia.
Simba ilitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini Senta fowadi anayemuamini Chris Mugalu amemuangusha sana.
Mara nyingi ameingiziwa mipira ya hatari kweli goli la Kaizer Chief lakini alipoteza yote.
Nadhani AmaKhosi walipenya hatua ya nusu fainali kwa uzembe wetu wenyewe
 
PhD student Alec Falkenham in the USA has worked out how to harness a property of your body’s own immune system. He’s developed a cream that delivers drugs to white blood cells called ‘macrophages’ (Greek for ‘big eaters’), causing them to release the ink they took up in order to protect your skin during the tattooing process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…