Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nilishaona wakurya wanavyopika maji yakichemka wanaweka unga wa kutosha na kuanza kusonga bila kukoroga uji
Sawa na mchele mmoja mapishi mbalimbali,kupika kwa kuchemsha maji then unaweka unga najua ila tatizo nikitumia njia hiyo ugali hausongeki vizuri lazima uwe na unga upande wahenga wanasema (Mabuje)
 
Aisee hii ni mpya kwangu mpendwa ninachofahamu kabla ujasonga ugali kuna hatua zake kuweka maji kwenye sufuria,kuweka unga kiasi,kuacha mchanganyiko uchemke hatimaye kusonga.Usukumani mwapikaje ?
nilishaona wakurya wanavyopika maji yakichemka wanaweka unga wa kutosha na kuanza kusonga bila kukoroga uji
Naam! Ugali wa Wakurya na wa Wasukuma unafanana. Ugali wa kazi!

Kuchemsha uji kwanza ni kujichosha na kujiunguza bure tu. Halafu ukizubaa kidogo tu ugali unafubaa au unatoka na mabunye kibao.

Mpendwa aje nimfundishe hii shortcut [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…