antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Dooh!
SalamaSalaam
Duuh..
😂😂😂😂😂😂😂Naam! Ugali wa Wakurya na wa Wasukuma unafanana. Ugali wa kazi!
Kuchemsha uji kwanza ni kujichosha na kujiunguza bure tu. Halafu ukizubaa kidogo tu ugali unafubaa au unatoka na mabunye kibao.
Mpendwa aje nimfundishe hii shortcut [emoji16]
kama alivyosema bro yaani ule ugali haupumziki ni kusonga mwanzo mwisho hautatoka na mabuje buje au mabongeSawa na mchele mmoja mapishi mbalimbali,kupika kwa kuchemsha maji then unaweka unga najua ila tatizo nikitumia njia hiyo ugali hausongeki vizuri lazima uwe na unga upande wahenga wanasema (Mabuje)
😂😂Nakuja unifundishe mpendwaNaam! Ugali wa Wakurya na wa Wasukuma unafanana. Ugali wa kazi!
Kuchemsha uji kwanza ni kujichosha na kujiunguza bure tu. Halafu ukizubaa kidogo tu ugali unafubaa au unatoka na mabunye kibao.
Mpendwa aje nimfundishe hii shortcut [emoji16]
Yeah bro kitambo kidogo nice to be here either, vipi upande wako kwemaAisee. Long time no see. Bila shaka chimbo lilichanganya. Nice to see you bro. Karibu tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole kwako na kwa wapendwa wako Mungu awasimamie
Inabidi afanye reconsideration ya anonymous foreverSitakaa nimsahau huyu. Gold Crest bro ni mzinga wa hoteli. Wiki nzima niko pale binti mpole hata JF haonekani. Kisa? Anonymous forevaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Kwema bro?Inabidi afanye reconsideration ya anonymous forever