antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Naam, hawa wazee wanajitahidi kuonesha njia, ila wahusika wengi kwa makusudi wamevaa miwani ya mbaoKabisa Mkuu yeye, Warioba na Msekwa wanajitahidi sana kusimamia haki ya kweli.
Pole kwa maumivu unayopitia [emoji120][emoji120]Amen[emoji24]
Akhsante kwa maombi yenu .
Mungu ni mwema wakati wote Ila kwa wakati huu ameniacha niumie.
[emoji120][emoji120]