myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeYusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini
Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...www.jamiiforums.com
Pole sana Saint Anne Mungu awe faraja kwako na familia yako [emoji120][emoji120]
Pole sana jirani[emoji120]
Pole kwa maumivu unayopitia [emoji120][emoji120]
Amen akhsante [emoji24] [emoji120].Hello dear.
Pole sana na msiba. Mungu Akupe nguvu.
Ndio njia. Ndio safari
Anne😭😭😭Amen akhsante [emoji24] [emoji120].
Akhsante kwa faraja na maombi.
Amen[emoji24][emoji120]Anne[emoji24][emoji24][emoji24]
Nakuombea na familia yako
Uko katika kipindi kigumu ila Mungu atawavusha
Pole sana dear
Mkuu ugua pole[emoji120]Amen[emoji24][emoji120]
Akhsante [emoji120]Mkuu ugua pole[emoji120]