Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuondoka Sergio Aguero, Man City akili yake imewekeza kupata mrithi wake na inapiga hesabu za kunasa saini ya straika wa Tottenham, Kane, anayethaminishwa kwa Pauni 150 milioni. Kupata pesa ndefu hivyo, Man City itahitaji kuuza mastaa wake na Arsenal inatazama hilo kama fursa ya kumnasa Sterling, ambaye ilikuwa ikimsaka kwa muda mrefu.
 
20210604_215903.jpg
.
 
kumbe basi sikuwa namfatilia hata jojo ila juzi kati hapa zimezuka sifa nyiingi kwake nikaenda muangalia kabadili nini sijaona kipya sijui ndo kumtafutia uteuzi zaidi au kumlinda. makonda ndo kabisaa tangu bongo movies waache shobo kwake sizion picha zake😂😂😂😂
Sisi kama TRM, Tutajitahidi picha zikufikie mahali ulipo😜

#Usipitwe
#hatupoi
 
Back
Top Bottom