BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Middle 😋
Duh..Arsenal iko tayari kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Matteo Guendouzi, 22, kwa euro milioni 10 sawa na (£8.6m) pekee. (Le10Sport via Calciomercato)
Wamwongeze tu...Kocha wa Atletico Madrid raia wa Argentina Diego Simeone, 51, anakaribia kukubali kuongezwa mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2024. (Cadena Cope via Mundo Deportivo)
Middle 😋
Huyu ni musiba, au?
Sawasawa...Zipo sababu nyingi zimetajwa kuwa zinaweza kumfanya mtu aishi kwa furaha ambazo ni pamoja na kumuamini Muumba wako; Kuwa na upendo kwa ndugu na jamaa, kudumisha amani ya moyo wako, huku ikitajwa furaha hiyo kuwa ni moja ya sababu zinazoweza kukufanya uwe na afya nzuri.
Leo nimekutana na hii ya njia sita ambazo furaha inaweza kuimarisha afya yako.