Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbaya zaidi ni kwamba karibu asilimia 80 huwa hawaoneshi dalili yoyote ya kuugua ugonjwa wa vidonda vya tumbo mwanzoni.
Duuh!10.Ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.
Basi itakuwa hii ndiyo msingi wa Mwanaume kuwa kiongozi kwa asili11.Ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.
SawasawaUhuru wa kufanya siasa
Duh...Kuku wana uwezo wa kuhisi chumvi kwenye chakula lakini hawawezi kuhisi sukari kwenye chakula.