Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuku tetea anayeatamia hugeuza mayai yake mara 50 kwa siku na ana uwezo wa kuatamia mayai 300 kwa mwaka.
Aisee..kura za bet ni kama wabunge wanavyomchagua speaker hio peoples choice ni kipengele kimoja tu. akina kigogo walitakiwa kuwapa elimu kubwa
mna kazi sana😂😂😂😂Aisee..
Nilifikiri ni kama ule ushindani wa rais bora Africa, ambapo waTz walimrundikia kura kwa kishindo Nana Akufo-Addo wa Ghana
Yap😎mna kazi sana😂😂😂😂
Hao ni akina nani, samahani mkuu.