moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uhuru wa kutoa na kupata habari
Salama🖐️Salaam
Kabisa..Kagame ni Tatizo.
Ni jirani tu lakini hatuna cha kujifunza kwenye utawala wake wa kifedhuli.
Kabisa mkuuAcha tu Mkuu na wengine bado wako lupango kwa kuwa walishindwa kulipa faini au waliporwa billions zao ili kulipia faini. Hawa wote ni lazima watendewe haki.
Hahahaha..
😂😂😂
Maovu yaliyosababishwa na dhalimu magufuli.
Hata mimi najisikia vibaya sana. Mi nasubiria Ford Ranger hapa! Na mimi ntaposti. Yeye havai yellow snickers though😀
Muwe mnaleta kwa wingi nshaanza msahau daddy is coming😂😂😂😂😂Sisi kama TRM, Tutajitahidi picha zikufikie mahali ulipo😜
#Usipitwe
#hatupoi
kura za bet ni kama wabunge wanavyomchagua speaker hio peoples choice ni kipengele kimoja tu. akina kigogo walitakiwa kuwapa elimu kubwaWakuu, mwenye link ya kupigia kura huko BET atuwekee hapa tushiriki kumgaragaza huyo mshirika wa nduli