Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji38][emoji38][emoji38]Maisha ni hadithi bro.Sabaya ameshalala muda huu!!! Sisi bado tunachart!!! Ndo maisha yalivyo!!
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Tz sio ya kuamini unaweza kuta yupo zake ofisin kwa jamaa wa magereza
Jambo ni la kushukuru.
Aisee..
Nilifikiri ni kama ule ushindani wa rais bora Africa, ambapo waTz walimrundikia kura kwa kishindo Nana Akufo-Addo wa Ghana
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516]mna kazi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]