Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
For men it's mostly the other way round, $€x is key..
Happy birthday Daemusin . More life, more blessings!leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana
mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana🎵🎵🎹
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
ahsante sana dada balozi wa swedenHappy birthday Daemusin . More life, more blessings!
Happy birthday to you 😊leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana
mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana🎵🎵🎹
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
hapo kwenye kujitafuta ndio kazi (unaweza kuhangaika masaa 24 na bado usijikamate),