Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
5. Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanaweza kurudishwa katika hali yake ya kawaida kwa kuchukuwa kipande cha chumvi na kukiweka mwishoni mwa ulimi na kukifanya kiyeyuke.
Watalaam wa afya mnatuchanganya,
Tunaambiwa chumvi siyo chakula salama maana inaongeza tatizo kwenye moyo na magonjwa ya sukari na tunaambiwa pia chumvi isiyo sagwa kama unavyosema ina leta tatizo lingine kwenye mfumo afya ya binadam.
Na hili leo nazidi kuchanganyikiwa[emoji15][emoji15][emoji15]

Basi nitakula chumvi, liwalo na liwe
 
Una tarehe mbili za kuzaliwa ndani ya mwaka mmoja?
Juzi hapa ulidai umetimiza miaka 30, leo tena umefikisha miaka 40!
Urojo wa leo wamekuchanganyia nini?
 
Happy bday mla urojoπŸŽ‚
 
Una tarehe mbili za kuzaliwa ndani ya mwaka mmoja?
Juzi hapa ulidai umetimiza miaka 30, leo tena umefikisha miaka 40!
Urojo wa leo wamekuchanganyia nini?
kikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh

wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
  1. numbisa, kazaliwa 2001
  2. the happiness, kazaliwa 2005
  3. nigendako mtoto wa juzi
  4. capitalpool, kazaliwa 2008
  5. moudgulf
  6. myoyambendi
  7. shimba ya buyenze
  8. andjul
=================
 
daaah mjukuu wangu kabisa weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Je ni maeneo gani sahihi ya kufungua biashara ili uweze kupata wateja, kukuza biashara na kutengeneza faida. Je, kila eneo linafaa kwa biashara? Hivyo basi, ili tuweze kujibu maswali haya vyema, hatuna budi kuangalia mambo 8 muhimu ya kuzingatia wakati wakuchagua eneo la kufanyia biashara ili ipate soko na kukua kila wakati.
 
Ushindani

Ushindani ni jambo muhimu sana linaloweza kufanya eneo la biashara kuwa zuri au baya. Hebu fikiri mtu mchanga kabisa anaanzisha biashara mahali ambapo tayari kuna wafanyabiashara wengine wakubwa wenye uzoefu, mtaji, vitendeakazi au hata mtandao mzuri wa washirika. Bila shaka, itakuwa vigumu sana kwa mtu huyo kukua kibiashara. Ni lazima mtu apime na achague eneo amabalo lina ushindani ambao anaweza kuumudu na kukua.
 
Uhusiano kati ya biashara na eneo/mazingira

Mara nyingi biashara huhusiana na mazingira husika. Kwa mfano ni rahisi kufanikiwa kwenye biashara ya stationary kwenye maeneo ya vyuo, shule au taasisi kuliko nje ya mazingira hayo. Kwa mfano pia ni rahisi mtu kuendesha biashara ya vyinywaji na vitafunwa, vipodozi na simu kwenye kituo cha mabasi kuliko biashara ya nafaka au pembejeo. Hivyo ni muhimu kupima kama biashara yako itaendana na eneo husika unalotaka kulichagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…