Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtindo wa maisha katika eneo husika

Kila eneo lina mtindo wake wa maisha. Itakuwa jambo la kusikitisha sana wewe kufungua biashara ambayo bidhaa yake ndogo kabisa ni shilingi 100,000 na wakati nguvu ya ununuzi ya watu wa eneo husika ni 1,000.
 
Happy 28th bday
Kabla ya ku comment humu uwe unaamkia kwanza wakubwa zako
 
Wingi wa wakazi

Wingi wa watu katika eneo husika ni sawa sawa na mauzo zaidi au kuonekana zaidi kwa biashara yako. Haijalishi eneo lina fremu nzuri au za gharama nafuu kiasi gani, kama halina wakaazi wa kutosha litakuchelewesha sana kufikia malengo yako.
 
Happy birthday daemusin. Wanauzi tunaserebuka kusherehekea kuzaliwa kwa dae mzenji asie na makuu mzenji pekee ndani ya uzi huu anayetupa burudani za kila aina,asiyetusimanga wala kututolea povu kama wa kule siasani.

Awesome mjukuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yeye anataka kuamkiwa wewe unamuita mjukuu?πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…