Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufuatilia na kutabiri tabia ya vyombo hivyo , Prof Moriba Jah na wenzake waliunda AstriaGraph - ramani ya karibu ya wakati halisi ambapo kila kitu katika anga za mbali kinafuatiliwa . Anaelezea kuwa mfumo huo unafuatilia karibu vyombo 200 ambavyo ni kama mambomu ya muda yanayohatarisha maisha ya binadamu .
 
Prof Moriba anasema vyombo hivyo ni vingi sana na kunavyo takriban 26,000 vinatoshana na simu ya mkononi hadi vikubwa kama kituo cha Anga za juu .

Vyombo hivyo vimekuwa katika anga za mbali kwa miongo kadhaa na nchi nyingi zilizovipeleka juu haziko tayari kugharamika kuviondoa kwa njia salama .
 
Unajua siku zote nilidhani upo juu ya 35
Nilipokuja Zanzibar kwa mara ya tatu katika historia yangu mwanzoni mwa 1992, kwenye fainali ya Kagame cup, wakati huo ikiitwa Afrika mashariki na kati kwenye mechi ya kihistoria Simba na Yanga,
nilikuwa na rafiki yangu mmoja mzanzibar machachari kama wewe.
Maana mnafanana sana, kisiasa, michezo na kijamii.
Huu mzaha wako hapa nilidhani ni yeye.
Angalau leo nimeelewa sasa 1991 ulikuwa hujazaliwa.
Ila usiwaze, miaka 28 ni mingi mkuu[emoji120]
 
Hakuna kinga ambayo itaweza kutumika kuwazuia binadamu kujeruhiwa au hata kuuawa na hatari kama hiyo kwa sababu itakuwa vigumu hata kwa nchi zenye mifumo ya makombora kujikinga. Haitawezekana kwa kombora kutumiwa dhidi ya vifaa vikubwa ambavyo huenda vikakatika na kuwa vipande vidogo vidogo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…